wizara ya afya Tanzania imetoa tahadhari ya uwepo ya ugonjwa wa mafua makali ya influenza na uviko 19 ( covid 19 ). Taarifa hiyo umetolewa Leo 25 februari 2026 na wizara ya afya kupitia kwa mganga mkuu wa serikali Dkt Grace Magembe. Serikali imetoa wito kwa jamii kuzingatia kikamilifu hatua za kinga Ili kudhibiti maambukizi